Friday, 5 February 2016

WENGI WANAMUOGOPA ILA UNAWEZA KUMFUGA NYUMBANI KAMA PAKA.




Anosa Kouta, mwenye umri wa miaka 27, ni mkufunzi maarufu katika kufundisha simba nchini Misri. Ujuzi huu unajitokeleza wazi wakati wa maonyesho yake ya sarakasi.

Msichana huyu alizaliwa katika familia maarufu ya uzoefu wa sarakasi na ujuzi wa kufundisha wanyama pori tangu karne ya 19.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125