Askari wakiwa zoezini. |
Jeshi la polisi mkoani mbeya Tazanzania limefanya zoezi la kushtukiza kujiweka tayari kuzuia ujambazi wa mabenki zoezi hilo liliongozwa na Kamanda wa polisi mkoa wa mbeya Ahmed Z Msangi .
pamoja na zoezi hilo kuwashtua wananchi waliokuwa wakipata huduma katika Banki mojawapo mkoani humo bado wananchi hao wamesifu hatua hiyo ya jeshi la polisi Tanzania.
0 comments:
Post a Comment