Tuesday, 26 January 2016

JICHO DUNIANI INAKULETEA PICHA 3 MAZOEZI MAKALI YA JESHI LA WANAMAJI TANZANIA HII NI PWANI YA DAR ES SALAAM.


Jeshi la wananamaji la Tanzania JWTZ katika mazoezi makali likijiweka tayari katika kulinda mipaka ya nchi dhidi ya adui lakini pia kutoa msaada wa kijeshi katika mataifa mengine kwa mujibu wa sheria za kimataifa.




0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125