Monday, 25 January 2016

KUTOKA TANZANIA,JE NI MKUU YUPI WA MKOA NI BORA KULIKO WOTE KATIKA UTAWALA WA Dr JAKAYA?.

Mmoja wa wakuu wa mikoa.
 Ni dhahiri kuwa kila mtu hufurahishwa na utendaji kazi wa mtu fulani yaweza kuwa kifamilia kitaifa nk, kwa upande wako ni mkuu yupi wa mkoa aliye bora kuliko wote katika utawala wa awamu ya nne ya Dr jakaya Kikwete. share link hii ubaini kutoka kwa watanzania na wasio watanzani.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125