Virusi vya zika vinasambazwa kupitia kwa mate na mkojo wa waathiriwa, watafiti nchini Brazil wamesema.
Paulo Gadelha, ambaye ni rais wa shirika la afya la umma nchini Brazil, ( Oswaldo Cruz Foundation) alisema, "dalili ya virusi hivyo ilionekana kwenye mkojo na mate ya waathiriwa, tutaendelea kufanya uchunguzi zaidi ili kuthibitisha uwezekano wa kuambukiza kupitia kwa njia hizo."
0 comments:
Post a Comment