Friday, 5 February 2016

RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE ATANGAZA NJAA YA KUTISHA NCHINI HUMO.



Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Ijumaa (Jana) alitangaza hali ya maafa kwa msimu wa kilimo wa 2015-2016 baada ya ukame ulioletwa na mvua ya El Nino na kufanya mimea kunyauka, nchi kudhoofika, na baadhi ya wanyama waliofugwa 16,000 kufa nchini kote.

Azimio hilo linahakikisha kuwa uhamasishaji wa misaada utapewa kipaumbele ili kupunguza mateso ya maeneo yaliyoathirika zaidi.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125