Licha ya hali mbaya ya uchumi nchini Brazil na tishio lililopo nchini humo la maambukizi ya virusi vya ugojwa wa Zika, mamilioni ya watu walijumuika mjini Sao Paolo kujiburudisha kwenye gwaride la densi ya kitamaduni maarufu kama samba.
Virusi vya Zika huenezwa na mbu na vinasemekana kusababisha watoto kuzaliwa na vichwa vidogo na ubongo kudumaa.
0 comments:
Post a Comment