Tuesday, 9 February 2016

MHIFADHI WA NGORONGORO AKAMATWA NA POLISI KUHUSIKA NA KIFO CHA RUBANI NA TEMBO.



Mhifadhi wa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Iddi Mashaka, amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio la utunguaji wa helikopta namba 88HF na kusababisha kifo cha rubani wake

-Imeelezwa kuwa Mashaka, ambaye pia ni ofisa intelijensia wa hifadhi hiyo, anadaiwa kuwa kinara mkubwa wa ujangili katika hifadhi mbalimbali nchini

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125