Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa jana alifunga bao la kusawazisha katika dakika za mwisho kwenye mechi yao dhidi ya Manchester United na kuendeleza rekodi ya Guus Hiddink kutopoteza mechi yoyote tangu alipochukua uongozi wa Chelsea.
Wakati huo huo Arsenal walishinda Bournemouth mabao 2-0 na kuimarisha nafasi yao katika shindano la taji la ligi ya Primea.
0 comments:
Post a Comment