Rais wa Tanzania. |
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza vita na wakuu wa mikoa akiwaagiza kuwa hataki kusikia neno njaa kwa wananchi katika mikoa yao atakaposikia wananchi wanalalamika njaa mkuu wa mkoa husika atasimamishwa kazi.
COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125
0 comments:
Post a Comment