Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
0 comments:
Post a Comment