Tuesday, 24 March 2015

BUNGE LA TANZANIA LAPENDEKEZA HUKUMU YA KIFO KWA ATAKAEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA.

Wabunge wa bunge la Tanzania wakiwa katika vikao vya kila siku.
Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano nchini Tanzania wapendekeza kwa kauli moja adhabu ya kunyongwa kwa watu watakao kamatwa na Dawa za kulevya ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini ambayo imekuwa ikipigwa vita kwa muda mwingi ili kukomesha uingizwaji na uuzwaji ili kupungua kwa watu wanao tumia Dawa hizo ambazo wengi wao walio wahi kubainika inaonyesha ni vijana, ambao ndio taifa la leo na kesho.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125