Browse » Home
Tuesday, 2 February 2016
TANZANIA INAWEZA KUVUNA MABILIONI YA FEDHA KUTOKA UINGEREZA MAHAKAMA KUHUSIKA.
Benki kuu ya tanzania BOT imeiandikia barua ya mashitaka standard bank yenye makao makuu nchini uingereza kwa kuitoza shilingi bilioni tatu kwa kosa la kufanya muamala wa kukiuka sheria na kanuni za banki na taasisi za fedha.
naibu waziri wa fedha DR. ASHANTU KIJAJE RUHANGWA amesema alipo kuwa akijibu swali alilo ulizwa na mbunge wa kigoma mjini KABWE RUHAGWA ZITTO wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni .
Aidha naibu waziri wa fedha ameendelea kwakusema kuwa katika mashitaka yaliyo fanywa na SILLUZ FROUD OFFICE huko uingereza dhidi ya standard bank ofisi hiyo ili
tambua kiasi cha dora milion 6 sawa na asilimia 1 ya mkopo ambao tanzania haikupaswa kutozwa pia amesema kuwa tozo iliyo tolewa kulipwa standard bank ni asilimia 1.4 badala ya tozo iliyo ingizwa kwenye mkataba ni asilimia 2.4 ambayo si harari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment