Tuesday, 2 February 2016

POLISI KENYA WAPEWA MAGARI YA KIVITA KUPAMBANA NA UGAIDI.




Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akagua gari la jeshi katika makao makuu ya kitengo cha polisi cha General Service mjini Nairobi, Kenya, Februari 1, 2016. Serikali ya Kenya siku ya Jumatatu ilisema kuwa imenunua magari ya kijeshi yatakayotumika kupambana na ugaidi.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125