Saturday, 23 January 2016

WALIKUTANA KIMASOMO INDIA SASA NYOTA INANG'AA KIMUZIKI NA NDOA. NAVY KENZO VS AIKA

Navy Kenzo na Aika.


Ni nadra kutokea ila hutokea wakati mwingine hawa ni wanamuziki wanaokuja kwa kasi katika mziki wenye ladha ya Bongo Flava Navy Kenzo na Aika walikutana kimasomo India na sasa wako katika uchumba na muziki Navy Kenzo pia ni produza wa muziki huo.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125