Sunday, 31 January 2016

SAMIA SULUHU AWEKA REKODI MPYA TANZANIA HONGERA MAMA.


Ameweka rekodi Tanzania huyu ni mama Samia Suluhu anakuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya Tanzania kuhudhuria mkutano wa umoja wa Afrika AU kama makamu wa rais JICHO DUNIANI inampongeza sana.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125