Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa zinazotolewa nchini Nigeria zinazofahamika kama TooXclusive.
Katika tuzo hizo, Diamond ameshinda katika kipengele cha African Artist of the Year alichokuwa akiwania na wakali wengine kutoka Afrika ambao ni Sarkodie, Cassper Nyovest, Stonebwoy, Uhuru, Sauti Sol, VAnessa Mdee na wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment