Thursday, 28 January 2016

BAADA YA NDOTO YAKE KUFIFIA ALIFUNGUA UKURASA MPYA, NYOTA INANG'AA.


Stanislaus Lamber.
Ni dhahiri kuwa vijana wengi hukata tamaa baada ya ndoto zao walizotegemea kufifia hivyo wengi wao huangukia kwenye hasara za dunia kama dawa za kulevya na anasa

Stanislaus Lambert ni moja ya vijana waliofanikiwa kukabiliana na changamoto ya ndoto kufifia alifungua kurasa mpya,, hapo mwanzo alifikiri pengine maisha yake yataishia kuwa Rubani wakimataifa ila hiyo haikufanikiwa na ndipo alipofungua ukurasa mpya na sasa ni mwandishi wa habari na mtangazaji chipukizi anaekuja kwa kasi ya kutosha. akiwa Times Fm Dar es saalam Tanzania blog hii inampongeza

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125