Sunday, 29 March 2015

SIASA YA TANZANIA BAADA YA KUFUKUZWA CHADEMA SASA ZITTO ACHAGULIWA NAFASI YA JUU CHAMA KIPYA CHA ACT

Mh, Zitto Kabwe.


Zitto alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama hicho nafasi ambayo kwa katiba ya chama hicho ndiyo ya juu zaidi. Nafasi zingine ni Mwenyekiti wa chama, na makamu wake, wa Tanzania visiwani na Tanzania bara, hali kadhalika nafasi ya ukatibu mkuu na manaibu wake wiwili. 
Mama Anna Mughwira kawa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha ACT Wazalendo na kuweka rekodi nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Taifa mwanamke.
Wajumbe wa NEC wa ACT Wazalendo waliochaguliwa
ZanzibarHalima M Hamis Said Ismail Rashid S Ali Juma Said Saanane Halua Ali Amali Tanzania Bara Marunga Msimba Ali Mwinyi Sophia Yamola Fungo G Benson Charles Lubala Godfrey Sanga Likap Likapo Batulo Ibrahim Kirungi A Kirungi Alex Nsanga
Chama hicho kimeinduliwa rasmi Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125