Tuesday, 2 February 2016

NASEMA ONDOENI JINA LANGU KWENYE KARATASI ZA KURA ZANZIBAR.



Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo.

0 comments:

Post a Comment

 

COPYRIGHT © Jicho Duniani DESIGN BY DISMAS TEN 0713216125